Suche einschränken:
Zur Kasse

9 Ergebnisse.

N'na Kwetu

Ghassani, Mohammed Khelef
N'na Kwetu
Tungo nyingi zilizomo humu ziliandikwa baina ya robo ya mwisho ya mwaka 2010 na nusu ya mwanzo ya mwaka 2015. Hii ni miaka mitano ya mwanzo ya mshairi kuhamia na kuishi nchini Ujerumani - mbali na nyumbani kwao, Zanzibar. Ndani yake, kwa hivyo, muna muakisiko wa hisia za mgeni ugenini, akitayamani mengi mazuri ya kwao na akijutia kuyaacha nyuma yake. Ukweli ni kuwa wakati mtu anapoishi ugenini, ndipo hasa ile thamani ya kwao anapoitambua na ku...

CHF 39.50

SIWACHI KUSEMA

Ghassani, Mohammed
SIWACHI KUSEMA
SIWACHI KUSEMA: Uhuru U Kifungoni ni diwani ya pili kuchapishwa na mshairi wa Kiswahili, Mohammed Khelef Ghassani, aliyezaliwa na kukulia Zanzibar na ambaye anaishi na kufanya kazi nchini Ujerumani.

CHF 19.50

ANDAMO

Ghassani, Mohammed
ANDAMO
ANDAMO: Msafiri Safarini ni diwani ya kwanza kuchapishwa na mshairi wa Kiswahili, Mohammed Khelef Ghassani, mzawa wa Zanzibar anayeishi na kufanya kazi nchini Ujerumani. Ndani yake ni muakisiko wa safari yake ya ukuwaji baina ya muongo wa mwisho wa 1990 na muongo wa kwanza wa 2000. Kuisoma diwani hii ni kuyasoma maisha yake na yale yaliyomuandama, naye kuyaandama katika umri huo.

CHF 19.50

N'NA KWETU

Ghassani, Mohammed
N'NA KWETU
DIWANI hii ya N'na Kwetu: Sauti ya Mgeni Ugenini ilishinda kwenye awamu ya kwanza ya Tuzo za Fasihi ya Afrika kwa Lugha ya Kiswahili inayotolewa na Wakfu wa Mabati-Cornell mwaka 2015. Tungo nyingi zilizomo humu ziliandikwa baina ya robo ya mwisho ya mwaka 2010 na nusu ya mwanzo ya mwaka 2015. Hii ni miaka mitano ya mwanzo ya mshairi kuhamia na kuishi nchini Ujerumani - mbali na nyumbani kwao, Zanzibar. Ndani yake, kwa hivyo, muna muakisiko w...

CHF 26.90

SIMULIZI ZA BI TIME

Ghassani, Mohammed
SIMULIZI ZA BI TIME
Huu ni mkusanyiko wa hadithi za paukwa-pakawa zinazosimuliwa katika jamii za Waswahili wa visiwa vya Zanzibar kama ambavyo mwandishi anazikumbuka. Huenda usimulizi wa upande mmoja wa jamii ya Waswahili ukatafautiana na wa jamii nyengine, lakini kwa kuwa wenyewe husema "Hadithi ina ncha saba", basi hii ni moja kati ya ncha hizo.

CHF 14.50

Machozi Yamenishiya

Ghassani, Mohammed Khelef
Machozi Yamenishiya
Mateso, maumivu na siasa ni mambo yaliyojaa uchochezi mkali unaomsukuma mshairi kuzungumza waziwazi na kinagaubaga na hatimaye kumfanya mwandishi apandwe na jazba zinazofanya kazi fulani itoke nje ya kingo za ulingo wa kisanaa. Katika hali kama hii mshairi lazima atunge wimbo unaoimbika ndani ya nafsi yake mwenyewe kwanza, wimbo utakaomwezesha kunyanyuka kitandani asubuhi huku akijua hayuko pweke, ana wenzake wenye maumivu kama au kuliko yake....

CHF 31.90

Mfalme Ana Pembe

Ghassani, Mohammed
Mfalme Ana Pembe
Mfalme Ana Pembe (The King Has Horns) is a Swahili poetry book by Mohammed Khelef Ghassani, a poet from the Indian Ocean Islands of Zanzibar, in East Africa.

CHF 19.50

MFALME YUKO UCHI

Ghassani, Mohammed
MFALME YUKO UCHI
Mfalme Yuko Uchi' is a Swahili poetry book by Mohammed Ghassani, one of the contemporary Swahili poets from the Indian Ocean Islands of Zanzibar in East Africa. As a talented poet, Mohammed Ghassani is well known for his mastery of Swahili language and especially his Pemban dialect which he often uses in composing strong and vibrant verses. This book is about politics, love, and life.

CHF 18.50